Katika ulimwengu wa mbinu za kujihami ( ngao combat ) ni mfumo wa kujihami wa tanzania, ila maneno ( ngao combat ) maana yake ni kama ifuatavyo
NGAO
ngao ni neno la kiswahili ambalo maana yake kwa kiswahili ni ( ulinzi au silaha ya kuzuia mashambulizi ya adui na kumshambulia adui.
COMBAT...
1. Kikosi cha kwanza ni (yellow section - kikosi cha njano ) kikosi hiki ni cha wanafunzi wapya ambao wapo katika daraja la ( junior level ). Sawa na kiwango cha awali.
Kikosi hiki ni cha wanafunzi wapya wanaojiunga na mfumo wa ngao combat, lengo kuu la kikosi hiki nikumjenga mwanafunzi...