netanyau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Netanyau asema ICC ni kikaragosi tu. Haina cha kumfanya ana Jeshi kali.

    Nchi ambayo itahusika kumkamata au wahusika wakae chonjo jinsi watakavyoanza dondoshwa kama kuku wa mdondo. Khayatollah yupo wapi? Wauulize Iran.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Netanyau anajinyea huku baada ya Trump kusema atamuuzia Turkey F35 na kuruhusu kununua S400 za Urusi

    Netanyahu aiambia CNN anapinga uuzaji wa ndege za F-35 nchini Uturuki huku akipuuza kudharauliwa na Trump Katika mahojiano na CNN, Netanyahu alionya kwamba uuzaji wa ndege za kivita za hali ya juu zaidi za Marekani "haufanyi Uturuki kuwa taifa rafiki kwa Marekani." Katika sehemu ya mzozo...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a televised statement tonight at 8:30, followed by a virtual press conference with foreign reporters, his office says. This will be the second virtual press conference Netanyahu has given since the war began 20 days ago
  4. S

    JamiiForums Tanzania Iran wanashindwa nini kulipiza kisasi kwa kumuua Netanyau?

    Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao? Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku...
  5. JamiiForums Tanzania Maneno machache ya Netanyahu akielekea U.S.A

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, asubuhi ya leo september 24, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben-Gurion, kabla ya kuondoka kuelekea Marekani kwa ziara ya kidiplomasia, ambapo atahutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump: "Sasa ninaondoka...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau, ael masharti 5 ambayo ya kutimizwa kumalizika mara moja vita vya Gaza

    Ofisi ya Waziri Mkuu ilisema vita vinaweza kumalizika mara moja ikiwa masharti matano yatatimizwa -. kuachiliwa kwa mateka wote; kupokonywa silaha kwa Hamas; kuondolewa kijeshi kwa Ukanda wa Gaza; udhibiti wa usalama wa Israel huko Gaza; na "kuanzishwa kwa utawala mbadala wa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Usalama la mawaziri kesho alhmasi Jerusalem ili kuidhinisha mpango wa kuitawala kijeshi Gaza

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh plans for the continuation of the war in Gaza. During a three-hour security discussion among a...
  8. JamiiForums Tanzania Netanyahu amekula chakula chenye sumu , kupumzika kwa siku tatu, ofisi yake yasema

    Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration). Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika...
  9. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Kidini wa Iran Atoa Fatwa Dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    moja ya viongozi wakuu wa kidini nchini Iran 🇮🇷 Ayatollah Makarem Shirazi, ametoa wito kwa waislam kote Duniani, kuwaua Donald Trump na Benjamin Netanyahu, akiwaita viongozi hao kuwa ni “maadui wa Mungu === Kiongozi Mkuu wa Kidini wa Iran Atoa Fatwa Dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump na...
  10. JamiiForums Tanzania Naungana na netanyau Israel imefikia malengo yake ya vita dhidi ya iran

    Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana Hii inakupa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu Unampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau kuhusu sera nzuri kwa Israel baada ya kuisha kwa vita dhidi ya Iran

    Uzi Maalumu Kila jambo lina Mwisho njia bora kujenga amani ya kudumu ni muhimu
  12. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza azungumza na Netanyau na kusema Israel has the right to self defense

    Wadau hamjamboni Britain has “grave concerns” over Iran’s nuclear program and believes Israel has the right to self-defense, Prime Minister Keir Starmer told his Israeli counterpart Benjamin Netanyahu on Friday, Starmer’s spokesperson says. “The prime minister was clear that Israel has a right...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyau aliagiza Iran itandikwe kuanzia November 2024 agizo litekekezwe kabla ya April 2025

    Wadau hamjamboni nyote. Advertisement Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024, na ameahidi kutoa taarifa za video kila siku pale itakapowezekana. "Agizo hilo lilitolewa muda...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya Raha kusikia kuwa Mwamba Netanyau atazungumza na Rais Trump baadaye Leo

    Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to speak to US President Donald Trump later today, according to an Israeli official. Netanyahu...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Taliban waandamana wabeba bendera ya Palestrina burning pictures of Prime Minister Benjamin Netanyahu

    Wadau hamjamboni nyote? Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban. Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau: Hamas wakiweka silaha zao chini Viongozi wao wataruhisiwa kuondoka wakiwa hai na Israel itasimamia Usalama ukanda wa gaza

    Wadau hamjamboni nyote? "Tuko tayari," Netanyahu alisema Jumapili. "Hamas itaweka chini silaha zake. Viongozi wake wataruhusiwa kuondoka [Gaza]. Tutasimamia usalama wa jumla katika Ukanda wa Gaza, na kuwezesha utekelezaji wa mpango wa Trump, mpango wa uhamiaji wa hiari. "Huo ndio mpango...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau awasili Washington DC, kukutana na Trump kwenye mkutano muhimu sana

    Wadau hamjamboni nyote Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau amewasili nchini Marekani na atakuwa na kikao kizito sana na Rais Trump Mungu ibariki Israel Netanyahu lands in Washington, to discuss hostage deal extension with Trump By AMICHAI STEIN FEBRUARY 2, 2025 22:42Updated: FEBRUARY 3...
  18. JamiiForums Tanzania Bado tunaendelea kumlaani Netanyahu kwa aliyoyafanya huyu Jamaa ataangamizwa vibaya

    Kwa kweli inaumiza sana. Tukiangalia Gaza na Palestine. Kumevurugwa hasa...siyo kipole pole. Amevuruga Hamas na amewatandika Hizbullah kiasi cha kutia aibu. Inaniuma sina raha. Nliposikia ana umwa nikamshukuru Mnyaazi. Jamaa likaondoka Hosp kabla halijapona ili likaendeleze kichapo. Yule si...
  19. U

    JamiiForums Tanzania News alert Pamoja na kutakiwa kupumzika na madaktari baada ya upasuaji tezi dume Netanyau atahudhuria uapisho wa trump 20/1/2025 Washington DC

    Wadau hamjamboni nyote? Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 1, 2025 Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery By...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Kifupi Netanyau Anataka Kumaliza Kizazi Cha Gaza Waanze upya

    Nimeangalia Al Jazeera Aisee Huyu Mwamba Wamwache Tu Amalize Alichopanga Kifupi Hana Hata Mpango WA Kuacha Mauwaji Ya Gaza Leo Wala Keshooo Mns Anahitaji Kizazi Kipya Gaza Hawa Waliopo Waishe Wotee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…