neo maema

Neo Maema (born 1 December 1995) is a South African professional soccer player who plays as an attacking midfielder for Tanzania Premier League side Simba SC .

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Taharuki: Mchezaji Neo Maema Atoweka Kambini Alfajiri ya Leo

    Kambi ya Simba imekumbwa na nini? Neo Maema ametoweka alfajiri ya leo. Pesa ziko Benki.
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Neo Maema akaribia kurejea Simba SC kwa mkopo kutoka Mamelodi Sundowns

    Kwa mujibu wa Mwandishi Lorenz Köhler amesemea kuwa kiungo mshambuliaji Neo Maema anatarajiwa kurejea Simba SC kwa mkopo akitokea Mamelodi Sundowns kwa msimu wa 2026/27. Simba SC na Mamelodi kukamilika, Klabu hizo zipo katika hatua ya mwisho ya mazungumzo kumruhusu Maema kurejea Simba SC...
  3. JamiiForums Tanzania Neo Maema, apewa 'Thank You' na Mamelodi Sundowns, kutua Simba baada ya CHAN

    Nahodha wa Bafana Bafana kwenye CHAN2024, Neo Maema amepewa mkono wa kwaheri na klabu yake ya Mamelodi Sundowns baada ya kuhudumu klabuni hapo kwa miaka minne na kuifungia magoli 13, akisaidia ‘assists’ mengine 14 kwenye mechi 120. Maema 29, raia wa Afrika Kusini ambaye anatarajiwa kujiunga na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…