Katika miaka mi5 hivi hii kwaya inafanya vizuri sana kuanzia kwenye utunzi, music arrangements, production zao ni motoo
Zama za kkkt mabibo, lulu zimepita japo hazijasahaulika, Neema gospel wamekuja na taste mpya tofauti kulingana na kizazi kilichopo sasa hivi
CVC nao wanajitahidi sio mbaya...