Najua kuna wengi wa machawa wako wanakusifia kwa kila aina ya uzuri, msikivu, mpenda watu, mwenya maono, chaguo la Mungu, kiumbe bora na mengine.
Basi, kuonyesha ukweli wa sifa hizi waonee huruma ndugu wa wahanga wa utawala wa kinyama na kishetani uliotumia wasiojulikana kuwaua au kuwapoteza...