ndoto zilizokufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania siyo tena Taifa, ni Cartel Inayofanya Uharamia wakati maskini wanaishi kwenye giza na ndoto zilizokufa

    Tanzania ya sasa siyo taifa, ni cartel inayojificha ndani ya mfumo wa kikatiba. Tumegeuka kuwa nchi ya maigizo, ambapo wahalifu wakubwa siyo tena wale wanaopora kwa bunduki bali wale wanaosaini mikataba hewa kwenye boardrooms wakiwa na wine glass mkononi na fake smile usoni. Tumefika mahali...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 30 Bila Ramani: Hujafa, Lakini Umechoka

    Miaka 18, umemaliza kidato cha sita. Umebeba ndoto zako zote mgongoni kama mzigo mwepesi, macho yako yanang’aa kwa matumaini. Unajiambia, “Nikimaliza chuo nitayabadilisha maisha ya familia yangu.” Miaka 22, degree mkononi, lakini huna pa kwenda. Dunia haijakukaribisha kama ulivyotarajia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…