ndoto za ujana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndoto za Ujana, Siasa za Ugaibuni

    "Wanasiasa wengi wa upinzani Afrika ni kama watoto wa Kitanzania waliokuwa na ndoto za kuwa madaktari, marubani, wahadisi n.k., hadi walipopewa hesabu ya kidato cha pili, wakaamua bora wauze chipsi."— Alloyce, P.R. 😄
  2. Miaka ya katikati ya ishirini: Ndoto za ujana, mizigo ya utu uzima — Na mimi niko wapi?

    Niko kwenye miaka ya ishirini na kitu sasa. Si kijana mdogo tena, lakini pia si mtu mzima kwa maana ya “kamilika.” Na kuna jambo moja ambalo limekuwa likijitokeza kimya kimya ndani yangu — kama mawimbi yanayopiga ufukwe wa akili bila kupumzika: Je, huu ndio utu uzima tulioahidiwa? Maisha haya ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…