Ilikuwa majira ya saa sita usiku natoka zangu kuangalia mpira wa simba yanga naelekea kufuata usafiri ni juzi kati tu hapo basi nikiwa nimetembea kilometa kama 3 hivi nakuanza kuacha hako kakijiji nikiwa ndani ya kamsitu kama mita tano upande wa kushoto wa barabara ndan ya hiko kimsitu kina...