nchimbi na samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi na Samia waliingia kwa njia moja na kuapa siku moja. Kujiuzulu kwa Nchimbi hakutoshi, Samia ajiuzulu pia

    Ni lazima Samia na Nchimbi wote waachie ngazi kulinda mustakabali mpana wa Nchi yetu. Nchi kwanza Mtu baadaye, kama Samia hatokubali ushauri huu basi tutangaze Tanganyika huru. Leo usiku viongozi kadhaa kuanza kutoka hadharani kutaka Samia ajiuzulu.
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbona Nchimbi yupo kimya? Simuoni akihaha na haka kaupepo kanakoendelea

    Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi? Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli? Alie karibu na Nchimbi huko anisaidie kumsalimia
  3. JamiiForums Tanzania POTOSHI Nchimbi amshukia Samia kutekwa kwa Polepole

    Kumekuwepo na Kipande cha Video kinacho sambaa kwenye Mtandao wa Facebook kikimuonesha Nchimbi akisema Samia Must Go huku akieleza kuwa Dhamira ni Kupinga Masuala ya Utekaji Nchini Tanzania. Je video hiyo ina Ukweli kiasi gani.
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi alipewa onyo kali huku wengine wakifuzwa uanachama kwa kumkataa Magufuli na Samia 2015. Kupitishwa kama Mgombea Mwenza wa Samia ni Mtego?

    Wakuu, Mwaka 2017 Dkt. Nchimbi alipewa onyo kali huku wanachama wengine wakivuliwa uachama kutokana na utovu wa nidhamu kwenye chama baada ya kumkataa Magufuli na kumsapoti Lowasa kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 - Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…