Inasemekana mawasiliano na Nchimbi hakuna hadi sasa
Ikiwa wamechukua simu yake maana yake huenda wamegushi barua ya kujiuzulu, wakatumia account zake za mitandao ya kijamii pia kutuma.
Nafasi ya makamu wa Rais ni kubwa sana mtu kujiuzulu kwa barua tu,
Ngoja tusubiri kauli yake mwenyewe.
Hatimaye code zimeanza kufunguka, video hii ya miezi mitano iliyopita, akiwa Bungeni, Dkt. Godwin Mollel aliyasema haya kuhusu watu aliodai wanachokonoa Ikilu, kwamba yeyote anayefanya hivyo ni adui yao.
Video hii imetrend ikiwa ni muda mfupi baada ya Makamu wa Rais, Dkt Emmanuel Nchimbi...
Mheshimiwa Rais Samia aridhia Nchimbi kujiuzuru Nafasi ya makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 25 Agosti, 2026, amepokea barua ya ombi la kujiuzulu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...