Kama umefika Korea kaskazini, Japan, Malaysia, Taiwan, Singapore, China au tuseme nchi za asia zote mpaka urusi nayo.
Yani wanawake na wanaume wanashindana kwa uzuri kwa kukipodoa.
Sijui kama mnakumbuka ile safari ya bongo zozo alishindwa kuelewa yupi dume yupi jike.
Hawa bara la asia...