nbcpl

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi ukitoa NBCPL, Azam TV wana nini kingine?

    Kama channel za movie ni chache Sana, Cinema zetu yenyewe kuna kipindi ilikua nzuri walikua wanaweka single movie nzuri kuanzia asubuhi Hadi usiku, usiku ndio walikua wanaweka tamthilia za Kiswahili, lakini sasahivi ni kutwa nzima wanaweka tamthilia ambayo nzuri ni moja tuu. Ukitoa Mpira wa...
  2. M

    Kwa mwenendo wa Ligi Simba ni Bingwa NBC - Na refa ndo atatoa penalt za ushindi mechi ya derby

    Kwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana. Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga atakuwa na point 79 hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby , ambayo pia mechi hiyo itaamuliwa na...
  3. B

    Utabiri wa bingwa CAFCL, CAF Confederation na NBCPL 2025

    Hello! Bila kupoteza muda. Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali. Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza...
  4. "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

    Ehhh wakuu, Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja. Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba, Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
  5. Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

    Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar. Timu kama Mashujaa Fc Pamba Prison Jkt Singida black stars Fountain gate Tabora Fc Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
  6. Full Time | KMC FC 1 - 1 | Coastal Union| Ligi Kuu NBC| KMC Complex|29 Agosti, 2024

    KMC FC wakiwa katika dimba lao la nyumbani wamekubali kuvutwa shati na Coastal Union ya Tanga kwa kutoka sare ya 1-1. Timu zote hizi mbili ni mchezo wao wa kwanza katika msimu huu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC. Goli la KMC limefungwa na Ibrahim Elias…. Dakika 32, goli la Coasta Union...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…