nbc premier league

The Premier League on NBC and Premier League on NBCSN is the blanket title for broadcasts of the Premier League by the networks of NBC Sports. NBC acquired rights to the Premier League in 2013, and reached a six-year extension in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League Mwenyeji : Tabora United Mgeni : Simba Sc Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora Muda : Saa 10 Jioni. VIKOSI VYA LEO Game On 3' Tabora 0-0 Simba 6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki 12'...
  2. Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

    πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DayπŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šFountain Gate πŸ“† 29.12.2024 🏟 KMC Complex πŸ•– 10:00 Jioni #Daimambelenyumamwiko# Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi. KIKOSI CHETU CHA LEO Updates Mechi imeanza DK 1 Mpira unaanza kwa kasi. Yanga wanaumiliki mpira, 0-0 DK 12 Game...
  3. Wazee wa kustream NBC Premier League hatimae tumefikiwa

    ..
  4. FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  5. Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

    Dodoma Jiji VS Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024 Saa kumi jioni Dakika 19, Mzize anawapatia goli Yanga Dakika 29, Aziz Ki anatupia goli la pili. Dakika 38, Mzize anawapa goli 3 Yanga. Dakika 62, Dube anafunga goli la nne
  6. Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

    Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama wajela jela. Timu ya Young Africans inajitafuta kurudi kwenye makali yake baada ya kupata vipigo...
  7. FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Mtanange mkali sana leo. 21/12/2024. MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA. Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera. Mwenyeji : Kagera Sugar FC Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam Muda : 10 jioni. KIKOSI. KIKOSI CHA SIMBA
  8. FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šMashujaa FC πŸ“† 19.12.2024 🏟 KMC Complex πŸ•– 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
  9. FT: NBC Premier League | Tabora United 2-1 Azam FC | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 13.12.2024

    HT Tabora 1 - 0 Azam. Mlioko hewani leteni updates!! FT Tabora United 2 - 1 Azam
  10. FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBC Premier League ⚽️ Namungo FC πŸ†š Young Africans SC πŸ“† 30.11.2024 🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi πŸ•– 6:30PM(EAT) KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Tukutane hapa kwa Updates... Updates... 18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa . Umiliki ni...
  11. Vita ya kuwania nafasi ya pili Yanga , Azam, Singida Nbc premier league si ya kitoto

    Ndugu wana michezo wenzangu, kuna kivumbi cha kukata na shoka kuwania nafasi ya pili nbc premier league, baina ya vilabu vitatu vidogo nchini. Embu cheki msimamo hapo chini kisha tupia comment yako ni nani atamaliza nafasi pili kati ya hivyo vilabu vitatu.
  12. FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

    Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza. Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi? Wana Simba...
  13. Upangaji wa mizunguko ya timu kucheza umulikwe na upangwe katika mtindo ambao utapumzisha wachezaji wetu

    "Timu yangu ina uchovu, tumecheza mech sita ndani va Siku ishirini" "Kila kitu leo kilikwenda vibaya, tumepata jeraha dakika ya nane, Musonda amepoteza nafasi ya wazi, tumepoteza penati wao wamefunga, wame shambulia mara mbili wakafunga,sisi tumeshambulia Γ—20 hatukufunga, siwezi kupeleka lawama...
  14. B

    Sisi kama SIMBA SC, kwa umoja wetu tumekubaliana kwamba TABORA UNITED ndio wakubwa wenzetu kwenye NBC premier league.

    Kwa kitendo chao cha kumkanda utopolo kwake tena dar es salaam kwenye uwanja wa kapeti wakiwa na mashabiki wao na wachezaji wao wote muhimu, tunasemaje Tabora United mnastahili heshima ya kuitwa timu kubwa hapa Tanzania. Tukumbuke timu kubwa hapa Tanzania zilikuwa ni mbili tu: Simba SC na Ihefu...
  15. Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Mechi: Yanga SC VS Tabora United Ligi: NBC Premier League Uwanja: Azam Complex Tarehe: November 7,024 Muda: πŸ•– 6:00PM Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa. Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana. Dakika, 19 Tabora...
  16. Kesho Yanga hapiti mlango wa nyuma

    Yanga sio timu kubwa bali ni timu kongwe, Sisi na Yanga hatutofautiani kwakuwa wao wanalala kwenye hotel ya nyota 5 na sisi tunalala hotel ya Nyota 5, Sisi tuna Bus kubwa kuliko wao kwahiyo sisi hatuwatazami Yanga kama timu inayotuzidi sana. Yanga ni wabinafsi sana na wanataka kushinda kila...
  17. Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

    Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara.
  18. Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  19. FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

    ⚽️ Young Africans SCπŸ†šAzam FC πŸ“† 02.11.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC Mpira umeanza Dakika ya 3 Yanga SC wanashambulia kwa kasi Dakika ya 5 Dube anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 14 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 17 Aziz k anakosa nafasi ya wazi...
  20. Kocha Miguel Gamond hafurahishwi Azam Complex kuwa uwanja wa nyumbani

    Katika mahojiano na Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekaririwi akisema sifurahishi na uwanja wa Azam Complex kuwa awanja wa nyumbani, "Hata tukiwa Zanzibar nilisema kuwa sifurahishwi na uwanja wa Azam complex,Azam na Yanga ni derby lolote linaweza kutokea". Hata hivyo Yanga walijaribu kuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…