Wakuu nauza pikipiki yangu kwa 300k tu, nimepata dharura na mfukoni siko vizuri. Pikipiki ni Yamaha tatizo lake ni kabuleta tu, njoo uichukue kwa hiyo bei mwenyewe nimeridhia kwa moyo mkunjufu.
CONTACT: 0659 918 194
Habar za muda huu wadau
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza nauza PIKIPIKI aina ya tvs 125cc imetunzwa vizuri
Haina kipengele chochote
PIKIPIKI ipo dar ubungo
Ina documents zote
Bei 1.5M mazingumzo yapo
Kwa atakayehitaji anaweza nichek 0680195414
Pikipiki makini ya kupiga kazi hii hapa.
BOXER X 125 "DRD" 🔥🔥🔥
Unaipata kwa 1,880,000/= Tu
Napatikana Mbezi Beach, Dar es Salaam na kama uko mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
CALL/WHATSAPP 0683535699
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.