Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, amesema;
"Wameanza kwenye mikoa mingine. Lazima tuwe macho kama vijana wa CCM. Kwa maana ya kwamba wanaanza tena kutengeneza chokochoko za kuvuruga amani. Labda niwakumbushe tu, katika demokrasia...