Tangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity).
Uchangiaji unakuwa bora zaidi maana members tunakuwa na uhuru wa kutoa mawazo yetu, kukosoa,kukejeli, kupinga, kupongeza n.k...