Anaandika Askofu Bagonza mtandaoni...........
POLISI NA “WAKATOLIKI"
1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza hisia zao kwa Balozi wa Papa hapa nchini.
2. Nachukulia uvumilivu wao kama ishara ya kuacha...