naibu waziri wa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji: Ukimpigia simu mtendaji wa maji, vyovyote vile atakavyokujibu, mtumie na meseji na uzitunze

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew Julai 4, 2026 amewataka watendaji wa mamlaka za maji nchini kutekeleza majukumu yao kwa wakati bila kusubiri ziara za viongozi wa Serikali, akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kupata huduma bora ya maji safi na salama wakati wote. Ameyasema hayo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji

    Habari za jioni ndugu, Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi mzima. Na DAWASA wamekaa kimya hakuna wanachoeleza cha maana ukiwapigia simu. Ni vyema sasa Waziri...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji, Kundo A. Mathew achukizwa na Mkandarasi kuchelewesha mradi wa Maji Monduli

    Naibu Waziri Waji, Kundo amechukizwa na kucheleshwa kwa mradi wa maji, Mradi uko asilimi 12.8 na mkadarasi hana uhakika kama Certificate wamesharise, Mkandarasi kasema mpaka acheki na ofisi, Waziri wa maji amemuhoji kuwa kasema yeye ni Eng. ila hata kuraise Certificate hajui mpaka acheki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…