naibu waziri tamisemi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huyu Naibu Waziri TAMISEMI awe Waziri kamili, kama ilivyofanyika kwa Makonda

    Ni mchapakazi. Mambo yake yako Wazi. VIDEO Kwako samuya..
  2. Naibu Waziri TAMISEMI: Tunapanga kuboresha posho za wenyeviti wa vijiji

    “Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kulipa posho za waheshimiwa madiwani, posho za waheshimiwa wenyeviti wa Serikali za vijiji na mitaa, lakini tutaendelea kuona uwezekano kwa kadri ya uwezo wa serikali, namna ambavyo halmashauri zitaboresha posho za wenyeviti wa vijiji.” – Dkt...
  3. Zainab Katimba Atimiza Mwaka Mmoja wa Utumishi, TAMISEMI

    Tarehe 04 Aprili, 2025, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba ametimiza mwaka mmoja wa UTUMISHI wake tangu alipoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri OR-TAMISEMI
  4. Naibu Waziri TAMISEMI: Serikali inaendelea kupunguza uhaba wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha, huku kwa sasa ikiwa katika majaribio ya matumizi ya teknolojia ya madarasa janja. Katimba...
  5. TAMISEMI yakemea Wanasheria wa Halmashauri Wasiowajibika

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amewataka wakuu wa Idara na Vitengo vya Sheria katika Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanazingatia weledi, uadilifu, na uwajibikaji katika majukumu yao ili kuepusha uzembe unaoigharimu serikali. Akizungumza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…