nahitaji mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

    Kichwa cha habari hapo juu cha husika. Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu. Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua. On top of that, elimu yake isipungue...
  2. Sasa Nahitaji Mke

    Sifa zangu: Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai Degree ya Kwanzaa Muajiriwa sekta binafsi Mweusi, mrefu na mwili wa wastani Mkristo Sijawahi kuoa na Sina watoto Napenda jogging na kusali Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Mkristo kabila lolote Mweusi na mwenye urefu wa wastani Aliye...
  3. M

    nahitaji mke wa kuoa aliye tayari

    mke awe na umri wa miaka 25 - 33 dini mkristo kazi yoyote asiwe na mtoto awe na upendo wa kwel na hofu ya mungu.... mwenye vigezo karibu pm
  4. NAHITAJI MKE

    Habari wapendwa Naishi Vikindu Pwani Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari tuwe na familia Km yupo anicheki DM Au Whatsapp kwa namba 0694599179.
  5. NAHITAJI MKE

    Habari wapendwa Naishi Vikindu Pwani Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia Km yupo anicheki DM
  6. Nahitaji mke wa kuoa

    Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa ngumu kupata mwenzi wa maisha. Baada ya kuachana na partner wangu mwanzoni mwa mwaka huu nimekuwa...
  7. Nahitaji mke wa pili nioe ndani ya miezi 5

    Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali...
  8. Nahitaji mke wa kuoa

    Nina miaka 33 Dini mkristo Elimu Degree Kazi muajiriwa Natafuta mke asizidi miaka 30 Sijabadili Id kama wengine ni maisha yangu ya nyuma tuu karibuni. Kigezo Awe tuu na hofu ya Mungu. Awe tayari kuzaa nitamuoa kabisa Dini yeyote
  9. M

    Mke anahitajika sasa

    Kama ilivyo hapo juu , natafuta chumba ambaye baadaye atakuwa Mke wangu. Mimi ni njasiriamali na miaka 50. Naishi Dar. Nimkristo mwenye hofu ya Mungu. Mchumba aliyetayari na anayejitambu anakaribisha. Ni PM Kwa maelezo zaidi.
  10. Nahitaji mke

    Mwaka unaisha ivo sijapata mke Naishi vikindu Kama yupo basi aje mwenye miaka 25-35. Aliyetayari tuyajenge DM
  11. Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Habari ndugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Nina uhitaji wa mwanamke ambaye atakuwa mstari wa mbele kushirikiana nami kwa maisha ya familia ili kuleta furaha...
  12. Nahitaji mke wa pili

    Kama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam kabila mnyamwezi /msukuma umri sasa miaka 39 makazi ya familia yangu dar mwanamke nnae muhitaji Awe...
  13. Mke mwenye hizi sifa 16 anahitajika haraka

    Vigezo; 1. Miaka 30 Mpaka 41 2. Amezaliwa Mara ya Pili. 3. Amejazwa Roho Mtakatifu. 4. Amebatizwa Maji Mengi. 5. Anaipenda na Kukubali Huduma ya Boniface Mwamposa Pamoja na Mitume na Manabii Wote Wenye Makanisa. 5. Aliye Tayari kuwa Mama Mchungaji. 6. Aliye Tayari kuishi mazingira Yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…