nacte

  1. P

    JamiiForums Tanzania NACTE wanafanyaje hapa?

    Hope mko wazima wa afya. Naomba kuuliza kwa wanaofahamu jinsi hawa NACTE wanapata GPA ya mwisho inayoweza kumpeleka mwanafunzi elimu ya juu (degree). Je wanachukua ile GPA ya semester ya pili ya mtihani wao? Au wanajumlisha GPA ya semester ya kwanza na ya pili? Please msaada wa dhati kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni taratibu zipi natakiwa kuzijua kwenye uombaji wa cheti mbadala kutoka NACTE

    Msaada wa pendwa cheti changu cha Diploma kimungua kwa ajari ya moto, nimekwama baada ya kushindwa kupata muongozo kutoka kwenye website ya NACTE. Ni kiasi gani cha fedha na muda wa kupata hicho cheti mbadala ni upi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…