Kulingana na mwandishi mkuu wa Al Jazeera huko Tehran, Marekani imekataa pendekezo la Iran kwa ukamilifu na wakati wowote Iran itaanza kupigwa!!
Pendekezo la Iran lilijumuisha masharti 5 ambayo lazima yatimizwe kabla ya kuanza mazungumzo:
1. Kumaliza vita katika pande zote
2. Kuondoa vikwazo...