Mwaka 2010 uliingia kwenye vitabu vya historia ya Bongo Fleva kama moja ya miaka ya kipekee kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS).
Ndani ya jukwaa hilo maarufu la kusaka vipaji, alijitokeza Mzungu aliyejulikana kwa jina la Joseph Pyne. Pamoja na kuwa si Mtanzania kwa kuzaliwa, Pyne...