Habari.
Ramadhan Kareem! Amani iwe nanyi nyote.
Ni imani watu walikuwa na mfungo wa Ramadhan wa kheri kabisa toka mwanzo hadi siku ya kesho tunategemea watamaliza na kheri pia.
Kipindi chote cha mfungo watu walikuwa wenye kujizuia na maovu kwa kadiri ya uwezo wa Mungu alivyomjalia mtu...