Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kibamba, Dar es Salaam Ernest Mgawe anashikiliwa na Jeshi la Polisi ikielezwa kuwa anatuhumiwa kutenda makosa mawili (2) ambayo ni kuhamasisha maandamano, na kuhamasisha watu kufanya fujo kwenye vituo na magari ya mwendokasi...