Katibu wa Kamati Maalum vya NEC Zanzibar , Idara ya Itikadi ,Uenezi na Mafunzo, Khamisi Mbeto Khamis ,ameeleza hayo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Visiwani humu
Mbeto alisema matatizo yaliochomoza yana taaswira yac Siasa hivyo ni busara utatuzi wake , ukachwaa mikononi mwa Serikali na...