Kwa kifupi:
Air Tz Mwanza hawatambui boarding pass za mtandaoni, wanakulazimisha upange tena foleni ya kaunta hata kama hauna mizigo.
Full:
Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza na Air Tanzania. Usiku kabla ya safari nilitembelea tovuti ya ndege nika 'check in' kwa mtandao ili kuepuka kadhia ya...