mwanamke mjamzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Paris: Mwanaume awachoma visu wanawake watatu, akiwemo mwanamke mjamzito, huku akidai alifanya hivyo kwa ajili ya Allah

    Tukio hilo lilitokea majira ya saa 3:30 asubuhi jijini Paris. Wanawake hao wenye umri wa miaka 19, 24 na 36 walijeruhiwa kwa kuchomwa visu, huku mmoja wao akiwa mjamzito. Mshukiwa, mwanaume mwenye umri wa miaka 31, mwenye asili ya kiarabu, alidhibitiwa na raia waliokuwa eneo la tukio kabla ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke mjamzito je anaweza kufika kileleni

    Naomba kupata mawazo yenu... Najua kuwa kitendo cha kufika kileleni ndo uzazi wenyew coz kwa mwanaume anamwaga sperms ndani ya uke. Sina uhakika kwa mwanamke nae anafika kilele anamwaga kitu gan..mwisho wa cku nazan ni kupata uzazi ndo lengo la uumbaji wa mungu Sasa swali langu mjamzito ikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke mjamzito afukuzwa kutoka Marekani baada ya kujaribu kujifungulia ili apate uraia kwa mtoto wake

    Mwanamke mjamzito alisafiri hadi Marekani kwa lengo la kujifungua ili mtoto wake apate uraia wa Marekani kwa kuzaliwa. Hata hivyo, alipofika uwanja wa ndege nchini Marekani, alikumbana na hali isiyotarajiwa. Aliambiwa kuwa hatakiwi kuingia nchini na alirejeshwa kwa ndege inayofuata kuelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…