Na baba Askofu Stephen Munga
JE, ASKOFU MWAMAKULA NI MFIA IMANI NA SHUJAA?!
Kwa muda sasa tulikuwa tukimsikia Baba Askofu Emmaus Mwamakula akiandaa matembezi ya hiari kwa ajili ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Haya ni matakwa ya watu wengi kulingana na maoni yaliyomo katika...