mvua dar es salaam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo kwa baadhi ya maeneo Kariakoo baada ya mvua zinazoendelea Dar

    Na ukikemea unatekwa, kuboresha hawataki wanataka tuteseke tu sasa hapo biashara zinazungukaje ukikosoa unatekwa nchi ina hali mbaya viongozi hawataki kujua kero zetu. Umaskini gani huu, hii ndio kioo cha biashara Tanzania je vipi huko vijijini aisee Mungu tuokoe Soma pia: Hali mbaya ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mikoa saba kupata mvua kuanzia leo usiku

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Uguja na Pemba yatapata mvua nyepesi kuanzia leo saa 3:00 usiku. "Angalizo la mawimbi makubwa yanayofikia mita mbili limetolewa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Picha ya mafuriko chuo cha CBE, aliyejenga chuo awajibishwe

    Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto, aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe. Mambo ya hovyo sana haya, hakukuwa na upembuzi yakinifu. Leo watu wamehailisha mitihani Dar es Salaam Campus kisa chuo kujaa maji. USSR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…