Kila mtu ana jambo analotaka kufahamu iwe ni kuhusu maisha, elimu, teknolojia, biashara au mahusiano, lakini kuna wakati unajikuta huna mtu wa kumuuliza au unaona aibu kuuliza kulingana na muktadha wa swali husika.
Usipate shida kwani hapo ndipo AVA (Ask Viamo Anything) inapokuja kuwa...