Yuko wapi ? Je bado ni mbunge ? Imebidi kuomba kumfahamu zaidi , maana tetesi zinaonyesha kwamba kuna ndugu yake alidakwa na sembe pale AIRPORT , je yeye mwenyewe hakuhusika ? Elimu yake sina haja nayo lakini je alisoma wapi ? Kabla ya hivyo viti maalum alikuwa anafanya nini ? Ameolewa ? Mume...