Rais wa Marekani Donald Trump amekanusha kuwa anafikiria muhula wa tatu wa urais, hatua ambayo wataalamu wanakubali kuwa ni marufuku kwa mujibu wa Katiba ya Marekani.
"Nitakuwa rais wa miaka minane, nitakuwa rais wa awamu mbili. Siku zote nilifikiri hilo lilikuwa muhimu sana," Trump alikiambia...