Wiki iliyopita tumemsikia Mbunge wa Musoma Vijijini na Waziri wa zamani Prof. Sospeter Muhongo akidai tuachane na miradi ya umeme wa maji kwa kile alichokidai inachelewa kutoa matokeo na kukupa umeme wa gharama nafuu kwa muda mrefu sana. Sasa hoja kama hizi hata kama ni mufilisi lakini ni vyema...