Muelekeo wa uchumi na tozo (uchumi kipofu)
Ebu tukae tulizungumze hili kwanza,
Kinachoendelea
Julai 1, 2021 serikali ilitangaza ongezeko la shilingi mia kwa kila lita moja ya mafuta.
julai 15, 2021 serikali ilianza rasmi ukatwaji wa kodi kwa watumiaji wa huduma za kifedha kwa njia ya simu...