Simon Mnyola Baba mzazi wa mtoto Nilsa Mnyola amethibitisha kifo cha mtoto wake wake aliyezaliwa na tatizo la kichwa kikubwa (Hydracephalus) alipokuwa akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
Nilsa ni mtoto aliyezaliwa kabla ya muda (njiti) na baada ya...