Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 5, 2026, ameshiriki Tamasha la Pasaka la Mtoko na Christina Shusho lililofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika tamasha hilo, Waziri Mkuu amesema kuwa Pasaka ni kipindi muhimu kinachowakumbusha Watanzania...