"Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.Tulinde amani ni mtaji wetu,tuitunze,tusikilizane,tuheshimiane,tushikamane."
Huu ni ujumbe toka kwa machakubanga waliojiweka madarakani kwa mabavu,sasa nasema hivi;
Mosi hakuna nchi inaitwa TANZANIA,ilikufa kitambo sana.
Pili sisi wananchi hatuna uwezo...