Ndugu zangu Watanzania,
Dunia nzima inaendelea kufuatilia kwa ukaribu sana na kwa umakini wa hali ya juu sana juu ya Ziara ya Mheshimiwa Rais Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Nchini Urussi.
Ambapo vyombo mbalimbali vya Habari Duniani kote vimeonekana kupigana vikumbo kupata taarifa za kila...