mpiji magohe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    DAWASA kumaliza kero ya maji ya miaka 30 Mpiji Magohe

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya maji kwa wakazi wa Mpiji Magohe, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo, hatua inayotarajiwa kumaliza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu katika eneo hilo. Mradi...
  2. Wale wa Mbezi Magohe, naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri kwa binti wa darasa la tano

    Wakubwa natarajia kuhamia huko soon. Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…