mpenzi wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi wangu ni noma

    Wazee siongei sana lakini kifupi huyu ni mpenzi wangu anafanya kazi ofisi flani hapa mjini ni kampuni binafsi. Mpka tunakubaliana kuanza mahusiano sikujua kama ni afisa ubashiri mbobezi (mbetiji) sasa tuna kama miezi kadhaa wazee huyu mtu anabet ni mwisho na anakula sometimes mikeka inachanika...
  2. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya mwaka 2006-2008 Mpenzi wangu Akiwa analea Mtoto Akawa Anafanya Uzinzi

    Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori. Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
  3. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapiga simu kila saa hali anajua nina familia nifanyaje?

    Wahuniiiiiii Nimewaita mje Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku Baba anataka msaada afanyaje?
  4. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaweka status WhatsApp ya kuachana na mtu ila si mimi

    Habari wakuu, Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka WhatsApp wimbo wa Mboso uitwao Over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi. Kuna haja ya kuhoji?
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada, kuna muda nachat na mtu mwingine ila naambiwa na mpenzi wangu kila tunachochat

    Jamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kuwa hivi wakati flani, nilikuwa nakipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi niliyekua nae, nikawa naambiwa ila sikuzingatia maana nilijua haiwezekani, ila hili swala limejitokeza tena, mwanamke nilienae sasa hivi nae...
  6. JamiiForums Tanzania nikipiga simu kwa mpenzi wangu akawa anatumika nakuwa na mwazo sana

    twajibiii mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana anaongea na nani? wanaongea nini? inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea nae mda wote mm ananichukuliaje? na asipo jibu sms ndio kuzidi nahisi kuna mtu bora zaidi yangu...
  7. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu aliniomba siku yake ya Birthday nimnunulie zawadi itakayo dumu mwaka mzima nimemnunulia Calendar kanuna

    Za sahizi wakuu. Wakuu nipo njia panda simuelewi huyu mpenzi wangu maana alitaka zawadi nimempa ananuna Au nimezingua wakuu
  8. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anaingia kwenye siku zake (hedhi) tukikutana

    Habari wana Jamvi, Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo. Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni...
  9. JamiiForums Tanzania Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

    Habari, nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kwa muda wa mwaka, sasa mara ya mwisho kukutana nae kimapenzi ni wiki tatu zilizopita na kabla ya hapo sijakutana nae kimapenz zaid ya miez mi3.. sasa juzi kaniambia anahisi ana mimba maana hajazion siku zake. Nikamtumia pesa aende hosptal...
  10. JamiiForums Tanzania Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

    Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃 Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo. Rafik yangu alikuwa ni wale...
  11. JamiiForums Tanzania Migogoro na mpenzi wangu haiishi

    Leo atakwambia hivi kesho litatokea lile. Leo atakuambia ubebe pochi yake, kesho atakuambia umuogeshe Leo atakupiga kiatu, kesho atakunyima tendo. Leo atataka kula hiki, kesho atataka kile. Sasa ananipangia siku za kufanya tendo Tatizo anasema ninamfaidi sana, kwa sababu natumia muda mwingi bila...
  12. JamiiForums Tanzania Nami nimemuadhibu mpenzi wangu aliyenijeruhi kwa kunipiga kichwani

    Mjuavyo tena katika mahusiano, kugombana na kurudiana ni kitu cha kawaida; mtakaa na kuombana msamaha na hatimaye mnafikia muafaka. Jana jioni, mrembo akaamua kuja kunitembelea nyumbani kwa mapigo ya kichokozi chokozi, lengo ni kuniamsha hisia ili niweze kusamehe na kusonga mbele. Mimi...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

    Habari za wekeend wakuu, Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda Dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali Nimekaa Dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu simuelewi

    Hello JF natumai mko poa. Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa. Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi yao kitengo alichopo nikaanza kazi. Kinacho nichanganya anapenda...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

    Kwema wakuu?? Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn...
  16. JamiiForums Tanzania Nimegundua mpenzi wangu akiwa na marafiki zake, huwa ananiita mimi kimburu

    Katika pitapita kwenye maeneo ya ofisi ya mpenzi wangu, nikasikia wananiteta, ''kimburu wangu ananivuruga kweli, hataki kutulia na mimi, kila wakati ni migogoro tu'' Wenzie wakamuuliza, kimburu ndio nani; ndipo aliponitaja equation x. Baada ya kusikia hayo maneno, hata sikuingia ofisini kwake...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Nilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu. Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu alinifumania, ananichanganya!

    Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage... Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu! Nikajua hata atakuja...
  19. JamiiForums Tanzania Hisia zimepotea kwa mpenzi wangu baada ya kujipunguza mwili ili awe mrembo zaidi

    Kuna mrembo mmoja nilitokea kumpenda, na katika harakati ikapelekea tukapata mtoto naye. Nilimpenda kutokana na muonekano wake, achilia mbali ni mtu anayependa sana mambo ya urembo urembo. Pia ni mtu mwenye tabia ya kujisifia sifia, na kuniona mimi kama mtu mwenye bahati kwa kuwa naye. Kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Familia ya mpenzi wangu hawataki kunielewa

    Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia kiasi gani. Sasa leo wakati naenda kanisani alinipigia simu ila sikuisikia. Na kwa bahati mbaya simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…