mpenzi wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kauli ya huyu mpenzi wangu imenitafakarisha sana

    Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga. Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake...
  2. JamiiForums Tanzania Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

    Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa.. Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka. Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja... Naomba ushauri niende au nikaushe
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Wadau salaam, Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute. Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kila mpenzi wangu akishika simu yangu, anazidisha mapenzi na heshima kwangu

    Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana. Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa. Sometimes she forget that...
  5. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

    Poleni na mihangaiko wakuu. Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa. Hivi hii ina maanisha nini?
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri Wenu Unahitajika : Kuna Mpenzi wangu anatuchanganya mimi na jamaa yangu

    Habarini za usiku ndugu zanguni ? Sitaki niwachoshe , Mimi ninafanya kazi sector fulani , Niliamua kuingia mahusiano na binti mmoja wa mtaani ninapoishi , mwanzoni aliniambia hana mtu mwingine kabisa na akitokea hawezi kumkubali sababu ananipenda mimi ,kiukweli niliupenda msimamo wake...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wana jamii juu ya uhusiano nilionao kwa mpenzi wangu

    Nina msichana niko kwenye uhusiano nae yapata mwaka wa8 sasa, lakini kwenye maisha ya uhusiano kamili ni miaka6, wa 7 na wa8 imeikuwa ni miaka ambayo changamoto,misukosuko,kugombana na kufikia hatua ya kuvunja kwa uhusiano. Shida ilianzia pale ambapo ameniona mm siendi kumchumbia kwao hpo ndo...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Nimwinde Wapi Mpenzi Wangu? Mwisho wa Kutembeza CV Barabarani!

    Wadau wa Jamiiforums, Habari Zenu? Natumai mpo fresh na maisha hayajakubana sana kama viatu vya ndugu yangu Juma vilivyojaa viraka. Leo nimekuja na kero kubwa inayowasumbua wengi, hasa mabachelor wa mtaani kutafuta mpenzi! Yaani, kila siku unakutana na dada mmoja barabarani, unajifanya kama...
  9. JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

    Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya. Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu. Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu za mpenzi wangu hawanitaki

    Wadau salaam, Nina mpenzi nimekaa nae kwa miaka mitatu hivi. Nimetaka nimuoe lakini amemwambia dada yake anamwambia kuwa mimi ni mkubwa sana kwake kwa hiyo kwa umri huo nina familia nyingine. Kuwa nataka nimpige mimba nimkimbie. Mimi nina miaka 35 Binti ana miaka 20. Amejaribu kuongea na mama...
  11. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaanza majuzi kufanya mazoeni tena kwenye team ya mabinti mtaani nimzuie?

    Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe hivyo nikimzuia anasema ameamua kufanya kazoeni na kila siku anaenda uwanjani na akirudi amechoka usiku...
  12. JamiiForums Tanzania mpenzi wangu anaficha mshahara wake! ushauri jamanii

    ushauri wenu jamaniii mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu...
  13. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya valentine: mpenzi wangu amenifanya nijihisi malkia!

    Jamani, my man has truly outdone himself this Valentine’s! Yaani sijawahi kufanyiwa hivi before, I feel so loved and spoiled. 😍 Morning surprise? He brought me breakfast in bed—hot tea, pancakes, and fresh fruits. Yani alijitahidi kabisa kuhakikisha I start my day feeling special. ❤️ Later...
  14. JamiiForums Tanzania Feedback ya mpenzi wangu Kwa kuto pokea simu Jana siku ya wapenda nao

    Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 .. Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

    Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️). Sikutaka kumchelewesha kama...
  16. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi

    Wakuu Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi. I'm very sad
  17. JamiiForums Tanzania Nimepokea ujumbe huu kutoka kwa mpenzi wangu wa utotoni..nimjibu nini?

    Habari zenu walipa kodi wenzangu. Nanukuu nilichoandikiwq na huyu mrembo wa kisambaa. "To you the love of my life" You are just what I dreamed,my sweetheart would you be my valentine? Nimjibu nini asa hapa?
  18. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia "Wanawake tunataka pesa"! Je, ni Sahihi?

    Katika maongezi na shemeji yenu amefunguka kuniambia "Yaani wanawake tunataka hela, twende mbele turudi nyuma tunataka hapa huku akipigisha vidole kama anahesabu hela" Maoni Yangu Naona ni sawa kumuhudumia mwanamke ila si sawa yeye kusema wanawake tunataka hela Naona kama ni makosa makubwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mie nalala chini, mke wangu kitandani

    Nilikua na mpenzi nani asiyemjua mtoto kaumbika utadhani malaika Baada ya miezi kadhaa kupita mtoto wa kwanza kazaa! Mtoto katoka mwarabu akasema kafanana na babu Nikaamua kuuchuna Mtoto wa pili kazaliwa Kafanana na mchina mzee akasema wee hujui tu kafata kwa bibi naibiwa mzee naibiwa Mwenzenu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nifanye je ili ukibali kuwa mpenzi wangu

    Hello jf ladies Nifanye nini ili ukubali kuwa mpenzi wangu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…