Wadau habari.
Huu mpapai nilinunua mche mwezi January kama sijakosea. Sasaumeanza kutoa maua kama hayo mnayoona. Michemingine huwa inapotoa maua inatoa maua moja mojaambayo ndo inakuwa tunda lakini angalia hayo maua yalivyo mengi alafu madogo.
Hivi siyo papai dume kweli? Naomba wazoefu...