Mnamo Novemba 12, 2025 Wakili Mwandamizi Mpale Kaba Mpoki alipokea wito kutoka kwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kipolisi Kawe. Wito huo ulimtaka afike leo asubuhi Novemba 13, 2025 katika kituo cha Polisi Mbweni.
Wakili Mpoki aliongozana na mawakili wake ambao ni Raisi wa TLS Boniface...