poleni na majukumu
Kuna dada tulikuwa na mazoea kias tu uwa tunawsiliana vyema Sasa Leo halikuwa na shida na bidhaa Fulani akaniomba kuwa nkielekea maneno ya mjini nmchukulie
Kweli join nkatoka home nikawasha pikipik yangu (tvs) mpaka maneno ya sokoni nkabeba mahitaji yangu Kisha nkampigia...