Mimi sio mchumi wala mbobezi wa tabia za binadamu. Natoa ushauri kama lay person.
Toka TRA ianze kufanya kazi mnamo Julai 1, 1996 kumefanywa maboresho madogo sana ya upande wa kuzitambua tabia za walipa kodi. Ni kweli kwamba duniani kote wafanyabiashara wengi hawapendi kulipa kodi, na kuna nchi...