mmama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Unadate na Mwanamke au mmama ambaye amechora tattoo ya jina la la ex wake kwenye paja. Wewe utakuwa na matatizo

    Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana. Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi. Are you insane?
  2. JamiiForums Tanzania Zamani ukisikia mjane fikra inakutuma ni mama wa makamo

    Hata vitabu tulivosoma au majarida yalikuwa yanatuonesha kwamba ni mama watu wa miaka kuanzia 35 huko. Ila sasahivi wajane ni vibinti vya umri mdogo kabisa yaani vingine hata 18 havina kabisaa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kuoa mwanamke mtu mzima anayenizidi umri

    Natumai mu bukheri wa afya hapa jamvini. Me kjana shabab shupavu miraba minne, nmekua na hisia kali sana kwa wanawake watu wazima (mishangazi). Nimekua nataman sana kuoa mwanamke anaenizidi umri ili awe mke wangu wa ndoa. Naahidi nitamskikiza na kumtii kwa kila kitu akitakacho, email yangu...
  4. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukosa au kukataa hela sababu ya mapenzi

    Mapenzi Shikamoo! Usiku huu nimeshuhudia mkaka anarudisha gari na fremu ya biashara kwa mmama aliyekua anadate naye sababu amepata msichana anayempenda na anataka kumuoa. Huyu mkaka amekua na mahusiano na huyu mmama ambaye ni rafiki yetu kwa zaidi ya miaka mitatu. Aliacha ajira serikalini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…