"Nendeni mkawaambie kwamba ni nchi gani duniani inawapa watu wake mikopo isiyo na riba?. Wakaangalie, mara nyingi wanapenda ku- google vitu ambavyo vinavunja amani, wa- Google sasa vitu ambavyo vinajenga amani yetu"- amesema Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo
Octoba 4, 2025 Mkuu wa wilaya...