Kuna Watumishi ambao wana nafasi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa hapa Arusha wamekuwa ni kero kubwa kwa baadhi ya Wafanyakazi.
Kati yao kuna Mhasibu na Katibu Tawala Msaidizi (Utawala), wamekuwa wakinyanyasa Watumishi kwa ufupi wanatumia ofisi vibaya.
Malalamiko Makuu
• Unyanyasaji na Lugha...