mkopo wa biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kupata mkopo wa biashara kwenye benki kubwa NMB, CRDB & NBC

    Habari wananzengo, Naomba kuuliza Je ni Muda gani Mtu anapewa mkopo kama amekidhi vigezo vyote vya kukopesheka, ie ana dhamana, ana biashara iliosajiliwa, Bank statement zake ziko vizuri ?? Naomba kujua
  2. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata pesa za mkopo ili niendeleze uwekezaji wangu?

    Nahitaji ushauri. Mimi ni entreprenuer ninayeanza. Nategemea kujishughulisha na utengenezaji wa vyakula vya mifugo na pia uchakataji wa mafuta ya kupikia katika hatua ya " refining". Nimesha install machine kwa ajili ya uwekezaji. Kiufupi nimewekeza Tsh 100,000,000 kama physical capital hasa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya fedha inayotoa mkopo kwa ajili ya biashara

    Habari wakuu, naomba kujua bank gani, au taasisi gani inayokopesha kwa vigezo ambavyo sio vigumu sana, ikiwemo riba kubwa, usumbufu n.k NB: nina biashara tayari ya 18M
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…